KUJUA haki kati ya mme na mke, haki ya mjane katika mirathi, wajibu wa baba wa nyumba, wosia sahihi kisheria, ugawaji mirathi kisheria, haki kwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa/mtoto wa kambo, na mambo mengi yanayofanana na hayo tafuta kitabu hicho hapo juu. kinapatikana bookshop karibia zote Tanzania, utakikutak ama kilivyo hapo kwenye picha. kwa mawasiliano piga 0767 154141....
MIAKA minne(4) iliyopita nilitembelea maeneo ya vijijini sana. kuna watoto wanapata tabu sana, wengi wao wanateseka kwasababu wazazi wao hasa akina baba wamewatelekeza, mama anawalea peke yao. pia kutengena kwa wazazi kunahatarisha ustawi bora wa watoto. Mungu anakataa kuachana kwa wanandoa, bora kusameheana kuliko kutengana na kuharibu maisha/maslahi ya watoto wenu. ukisoma kitabu hicho hapo juu utapata kila kitu...
Kitabu hiki hapa juu cha Sheria kwa Kiswahili, pamoja na mambo mengine, kimeelezea juu ya marufuku ya ajira hatarishi kwa watoto. Sheria ya Watoto Namba 21 ya 2009 pamoja na Sheria ya Ajira na mahusiano kazini hapa Tanzania, zinaeleza kuwa, ni marufuku kwa mtu yeyote kumfanyisha mtoto kazi hatarishi au zile zinazovurugha maslahi yake bora.Mtoto ni nani? Mtoto ni...